Monday, 15 June 2015

picha za vyakula kwenye sherehe mbalimbali

BRIYAN RICE IKIANDALIWA KWA AJILI YA SHEREHE YA KUVALISHWA PETE (ENGAGEMENT PARTY) ILIYOFANYIKA NJIRO

RUSSIAN SALAD ILIANDALIWA KWENYE SEND OFF ILIYOFANYIKA SAKINA CAR WASH 2014

IDD EL FITR ILIFANYIKA NJIRO ARUSHA 2013

MISHIKAKI ILILIWA ST. MONICA ARUSHA 2014

HARUSI ILIFANYIKA SAKINA, 2014

SHEREHE YA UKOO ILIFANYIKA SAKINA ARUSHA 2015


NDAFU IKIANDALIWA KWAAJILI YA HARUSI ILIYOFANYIKA BLUE FACE SAKINA ARUSHA

MATUNDA ILIKUWA SHEREHE YA MAANDALIZI YA KAMATI YA HARUSI, BOMASIARA ARUSHA

SALAD HII ILIANDALIWA KWENYE HARUSI ILIYOFANYIKA LABELALUNA

HII HARUSI YA WAKENYA ILIFANYIKA ARUSHA FRYING PAN

No comments:

Post a Comment